Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,041
- 13,473
View attachment 113493 mwanaume kumfuatilia mwanaume mwenzie is called?
Huyo paka mbona ana sura kama ya mtu?
Hahahahahahahah.....
hi folks here
nashangaa some men hawapendi football or basketball, hawapend hip hop wao zao taarabu tu! draft ndo kabsa! hv inakuaje inakua man hapend hvo vitu na huwa wanajifeel aje? share me your experience if ur among of them.
your cousin

Hivi unategemea Mzee Yusuf apende nini..??? Acheni kupenda vitu kwa mazoea au kukariri... Penda kitu roho inapenda ilimradi huvunji sheria ya nchi...hi folks here
nashangaa some men hawapendi football or basketball, hawapend hip hop wao zao taarabu tu! draft ndo kabsa! hv inakuaje inakua man hapend hvo vitu na huwa wanajifeel aje? share me your experience if ur among of them.
your cousin
sio ulimbukeni.kuna msemo usemao'asiyesafiri hudhani mama yake/mke wake ndo mpishi bora zaidi' lengo ni kupata uzoefu mwngne kama jamaa wa taarabu hapo juu!
Hivi unategemea Mzee Yusuf apende nini..??? Acheni kupenda vitu kwa mazoea au kukariri... Penda kitu roho inapenda ilimradi huvunji sheria ya nchi...
By the way, Esther Chaburuma anapenda footbal, what is your opinion..??
serengeti boy inakuwaje unakuwa mwenyewe 6*6......afu unajua sijakuelewa!!!
au kwa vile niko mwenyewe over 6/6 ?
Hakuna madisco matamu km ya taarab...mamen wachacheee madem kibao na wakali kinyama nyuma wameshona ile mbaya yani utachezea mpk uchemshe mwenyewe
Sipendi taarab napenda madisco ya taarab
Hivi unategemea Mzee Yusuf apende nini..??? Acheni kupenda vitu kwa mazoea au kukariri... Penda kitu roho inapenda ilimradi huvunji sheria ya nchi...
By the way, Esther Chaburuma anapenda footbal, what is your opinion..??
sijasahau. point yangu ni kupata uzoefu kuhusu wale wasiopenda interest zangu. dulah moko kasema anapenda taarabu b'coz ya wadada wenye inyeHapo sasa naona amesahau kwamba akipendacho yeye ni kero kwa mwingine