shaibu athuman kapara
Member
- Sep 2, 2016
- 7
- 3
Unalikuta lidume zima linajisifia urijari kwa kuwa na mademu kama madira ya elfu 3, badilikeni nyie wanaume, kama mwanaume rijali nyumbani wapate ugali.
Siku hizi wajanja wanasaka wafanyakazi au wanaojiweza kiuchumi, hapo wanajua uhakika wa kulelewa watoto wao upo. Wamekuwa wa hovyo hovyo tu.inazalsha halaf aitunz, kaz kujisifu m nna watoto weng, tabia hii ipo kila sehem ila kwa wanyalukolo irng imezd
Hebu jaribuni muone kama tutakosa.Hivi kama kila mwanaume atakuwa na mwanamke mmoja tu katika maisha yake. ..
Unajua ni wanawake wangapi watakaokosa wanaume..?
(Pitia taarifa za sensa halafu urudi hapa)
Ndiyo mtakosa mko wengi zaidi yetu unabisha..?Hebu jaribuni muone kama tutakosa.
Sio kweli mimi nimezaa na mnyalu na anacare sana tofauti na baba wa watoto wangu wakubwa wawili.inazalsha halaf aitunz, kaz kujisifu m nna watoto weng, tabia hii ipo kila sehem ila kwa wanyalukolo irng imezd