Mwanaume halisi ni.....

Mwanaume halisi ni.....

holygrail

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,303
Reaction score
597
Mwenye pesaaaa...

1.anayeweza kulipia dstv premium hata ifikie 500k

2.ambaye halalamiki jf eti dstv wamepandisha

3.lazma umiliki gari lisilopungua 45mil

4.unampeleka dem mall za maana sio karume au kariokoo

5.ambaye ha report thread kwa mods mada hii inapomgusa

Dr.holygrail rweyemamu
Dstv premium loyalist
 
Umeandika hayo yote ili iweje?
 
Kweli tunatofautiana.....
Wengine hivyo vyote sio vigezo....
 
Tamthilia zinawaharibu watu.... unataka kutuletea maisha yako ya tamthilia hapa... wewe dstv na gari ndo kitu cha maana? kumbuka hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba
 
Wanaume Halisi au wanaume wenye uwezo kifedha?,... Pia fikiria hapo kwenu wanaume wangap halisi based na idea yako, kaka ako?, anko zako?, mmmh! Babu yako pia alikuwa halisi...😎😎😎😎
 
A real man is the one with greater and distinct Intelligence Quotient.
 
Mwenye pesaaaa...

1.anayeweza kulipia dstv premium hata ifikie 500k

2.ambaye halalamiki jf eti dstv wamepandisha

3.lazma umiliki gari lisilopungua 45mil

4.unampeleka dem mall za maana sio karume au kariokoo

5.ambaye ha report thread kwa mods mada hii inapomgusa

Dr.holygrail rweyemamu
Dstv premium loyalist

Wewe mpeleke shopping mall za maana. Wenzio atawafulia boxer za buku mbili.
 
Back
Top Bottom