hamza mahundu
Member
- Dec 20, 2018
- 65
- 118
Hata yesu hawezi?Mwanaume Sikiliza:
》Kwenye ajali ya meli ya Titanic iliyozama waliookolewa wengi walikuwa ni wanawake!
》Yaani zaidi ya 74% ya wanawake waliokolewa
》Watoto Zaidi ya 52% na wote waliokuwa daraja la 1 & 2 wote wakiokolewa na kuendelea kupiga matonge ya ugali kama kawaida.
》Ila kwa wanaume sasa ndiyo kimbembe, yaani kati ya vifo vyote 1,517 wengi walikufa ni wanaume ambao ni zaidi ya wanaume 1,347 bila kuweka wahudumu wa meli.
Ni kama 16% mpaka 20% tu ya wanaume wote ndiyo waliookolewa.
》Ni vizuri mwanaume kujua mapema kwamba hayupo anayekuja kukuokoa.
Wanaookolewa ni wanawake na watoto.
✧ Wewe unawajibika kwa 💯% na maisha yako.
✧ Uhalisia wa mambo utafuata matendo yako.
✧Acha kulalamika kwamba mambo hayako sawa. Wewe ndiyo unayehusika kuyaweka sawa.
✧ Ikitokea mtu kakushika mkono usidhani ni ujanja wako, huyo ni malaika katumwa. Mshukuru Mungu!
✧Pambana mpaka tone la mwisho bila kukata tamaa.
Ipo Siku Mengi Yatabaki Kuwa Historia.
Sina usemjHata yesu hawezi?
Naunga mkono hojaMwanaume Sikiliza:

EwalaNaunga mkono hoja
Yesu aweze ana nini huyo fara tuHata yesu hawezi?
Hii ngumu. Ila Yesu ni mpole Sana na anawapenda wadhambi watubu.Yesu aweze ana nini huyo fara tu