Mwanaume hafumaniwi

Mwanaume hafumaniwi

Truth will Remain

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
254
Reaction score
126
kuna haka katabia ka kusema kuwa nimemfumania baba fulani, mara ooh nimemfumania fulani na binti wa fulani.Ukweli ni kwamba mwanaume hafumanwi ila anakutwa.

Hii inamaanisha kuwa mwanaume ndio anatafuta mke,kwahiyo anatakiwa kufanya majaribio ya mke aliye mwema.Anayefumaniwa ni mwanamke peke yake
 
Umeshasema baba fulani maana yake tayari ni baba na familia, sasa hayo majaribio ya kutafuta mke ndo yepi Truth will Remain. Acheni uzinzi bwana usemi utabaki pale pale umefumaniwa.
 
MO11
Mwanaume haibwi lakini anafumaniwa.
 
Last edited by a moderator:
sio kweli hili si ajabu umefumaniwa huko unataka kujipoza
 
funny-pictures-532.jpg
 
kuna haka katabia ka kusema kuwa nimemfumania baba fulani, mara ooh nimemfumania fulani na binti wa fulani.Ukweli ni kwamba mwanaume hafumanwi ila anakutwa.

Hii inamaanisha kuwa mwanaume ndio anatafuta mke,kwahiyo anatakiwa kufanya majaribio ya mke aliye mwema.Anayefumaniwa ni mwanamke peke yake
Huko KUKUTWA si ndio kufamaniwa kwenyewe...
 
Huko huko kukutwa kumeshasababisha baadhi ya wanaume kunyofolewa korodani zao
 
Ukisema me hafumaniw bas hata ke nae pia yupo kwenye kuangalia huyu ana mpini na huy anaspoku atakae faa anamchukua. Pamoja mkuu?
 
ukishakutwa ​ndo utajua vema.

Teh teh teh.....hahahaha! Hiyo maneno yako, nimecheka.! Yaan, asiandikie mate ilhali wino upo. Haya bana....unaweza ukawa umemstua huyu mtoa mada. Kama alikuwa mguu pande...nahisi sasa yuko mguu sawa. VITA UISIKIE TU KWA JIRANI.
 
Back
Top Bottom