vyombo kwangu sawausiwasikilize wanawake wanachosema ..angalia wanachofanya..maana huwa hawaamanishi wanachokisema...ukimpigia magoti atakuona pang'ang'a la karne...na hapo ndipo atakuandalia mazingira uoshe vyombo
Tu vyombo tu tena vya watu wawili, si unaosha tu baasi! acha kuwa legelege.mtoto wa mama. unataka nani aoshe!usiwasikilize wanawake wanachosema ..angalia wanachofanya..maana huwa hawaamanishi wanachokisema...ukimpigia magoti atakuona pang'ang'a la karne...na hapo ndipo atakuandalia mazingira uoshe vyombo
SureTatizo mnaishi na wanawake mizigo wasio na future yoyote maishani.
Kumpigia goti mwanamke hasa ikiwa unaomba akusamehe mahali alipokwazika haikuondolei uanaume wako bali pia inakufanya uwe mwanaume unayejali.
Mwanamke alitolewa mbavuni siyo ili anyanyasike bali alindwe na ajisikie ana mwanaume ambaye kweli katoka ubavuni kwake.
Wanaume tunaowapigiaga wanawake magoti ndiyo tulio na mapenzi ya dhati na tuna mapenzi ya faida kiuchumi siyo ya kitoto.
Tatizo mnataka kupigiwa magoti na wanawake wakati pesa hamna kitandani kazi hamuiwezi upendo kwenu ni ziro.Tambueni kuwa mwanamke humheshimu mwanaume yule aliyetimia kona nyingi yaani mtoaji,mlinzi wa kweli kwa mke,anayemfurahisha kitandani,anajali ndg wote na anajua thamani ya familia.
Wanawake wanaojielewa tunawajua na tunawalinda na kuwaheshimu kama faru wa Magufuli.
Mbona hawa kwenye picha ni watu wale wale?Wakuu habari?
Nimeona nipate majibu kutoka hapa maana nimeulizwa hili kwa mda mrefu nakosa jibu sahihi.
Naomba niuulize maswali niliyowahi kuulizwa.\
1.Kwanin kupiga goti kwa mwanaume wakati akimvalisha pete mchumba ake inahusishwa na upendo?
2.Kama inahusiana na Upendo kwanini wanaume wengi hawapigi goti siku ya kuvalisha pete sku ya ndoa?
3.Tunakubaliana kuwa Wanaume wana upendo zaid kuliko wanawake maan sisi tunawavalisha pete tukiwa tumepiga goti lakin wao wamesimama?
4.Huu utamaduni umeanzia wapi? Na kwanini jamii uliukubali??
5. Nini MTAZAMO WAKOna TAFSIRI YAKO?
NAWEKA PICHA HIZI ZA MWANAUME ALIYEPIGA GOTI AKIMVISHA PETE MCHUMBA AKE na MWANAUME ALIYESIMAMA AKIMVISHA PETE MCHUMBA AKE..
Nawasilisha.[emoji120]View attachment 1058903View attachment 1058905
Sent using Jamii Forums mobile app