Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,124
- 93,247
Tatizo mnaishi na wanawake mizigo wasio na future yoyote maishani.Mimi kwa upande wangu sijawahi hata kama ikitokea ni kosa kubwa kiasi gani Nitaomba nikiwa wima wima sio kupiga Goti
Nawazaga wale wanaopiga goti wakat wa kuvisha PETE sijajua inakuagaje ila mimi naamini Nitamvalisha PETE mpenzi wangu
in a suprise way na sitompigia Goti kwakweli na nina uhakika atapenda na ntamuacha Akitoa macho kwa FURAHA.
View attachment 1235995
Sina mpango wala sitarajii kuja mpgia GOTI mwanamke (siwezi jua huko mbeleni lakini)
Sijui kwenu wa kujiita mabaharia.
NIKO NA UBAYA NIBADILISHEHayajakukuta wewe mie niliposhikwa kuwa na mtoto nje nilipiga goti wakati najieleza na siku alipogundua na mwingine kwa mwanamke tofauti nikapiga tena goti. Kwa sasa najiandaa kupiga tena goti mtoto wa watatu wa nje kuna kamchepuko kana mimba ya miezi saba. NIKO NA UBAYAAA
wewe utakua na undugu na wale walisema watatembea na magoti mpk southTatizo mnaishi na wanawake mizigo wasio na future yoyote maishani.
Kumpigia goti mwanamke hasa ikiwa unaomba akusamehe mahali alipokwazika haikuondolei uanaume wako bali pia inakufanya uwe mwanaume unayejali.
Mwanamke alitolewa mbavuni siyo ili anyanyasike bali alindwe na ajisikie ana mwanaume ambaye kweli katoka ubavuni kwake.
Wanaume tunaowapigiaga wanawake magoti ndiyo tulio na mapenzi ya dhati na tuna mapenzi ya faida kiuchumi siyo ya kitoto.
Tatizo mnataka kupigiwa magoti na wanawake wakati pesa hamna kitandani kazi hamuiwezi upendo kwenu ni ziro.Tambueni kuwa mwanamke humheshimu mwanaume yule aliyetimia kona nyingi yaani mtoaji,mlinzi wa kweli kwa mke,anayemfurahisha kitandani,anajali ndg wote na anajua thamani ya familia.
Wanawake wanaojielewa tunawajua na tunawalinda na kuwaheshimu kama faru wa Magufuli.
wanasema unapofanya hivyo unakua unaonyesha mahaba ya dhatini undezi na umama wa kiwango cha havard kumpigia demu magoti
usiniambie hutaki sikia huo ujinga?ππNever before Never after
kwa ajili akusameheOvyo kabisa,kwa ajili ya nini sasa?
Mkuuu kwake Kila GOTI litapigwaHayajakukuta wewe mie niliposhikwa kuwa na mtoto nje nilipiga goti wakati najieleza na siku alipogundua na mwingine kwa mwanamke tofauti nikapiga tena goti. Kwa sasa najiandaa kupiga tena goti mtoto wa watatu wa nje kuna kamchepuko kana mimba ya miezi saba. NIKO NA UBAYAAA
sema kweli?Kwanza lazima uandike?! Yaani hata hujielewi ......
eti umesemaa?Sijawahi, na sitokaa niwahi.
Kwanza sifa ya mwanaume
1-Kukataa katakata kosa.lolote hata kama nikweli.
2-ikitokea umeomba msamaha, Omba lkn usiombe msamahaa ambao mwanamke ataugeuza kua sehem ya faida, ukaishiwa kulipizwa.kisasi!!!.
usiwasikilize wanawake wanachosema ..angalia wanachofanya..maana huwa hawaamanishi wanachokisema...ukimpigia magoti atakuona pang'ang'a la karne...na hapo ndipo atakuandalia mazingira uoshe vyombowanasema unapofanya hivyo unakua unaonyesha mahaba ya dhati