black jeus
Member
- Oct 16, 2020
- 66
- 175
Habari za mda huu wakuu,naomba kuuliza kama mwanaume anaweza kupata PID,na kama ndyo,inakuwa katika mfumo upi,na namna gani,maana wanawake wanapata PID kupitia njia ya tendo la ndoa!
Nimecheka kinoma daaah, mwenzako anaweza asielewe 😂😂😂😂😂, mkuu mwambie mwenzio huu ugonjwa ni wanawake tu ahahaha ahahaha labda kwa hawa wanaume walofanya pusay implants 😂😂😂, ujue nlivyoona Yes alafu nikaona fallopian tubes na ovaries ikabid niwe mpole daahYes..
Kama una
1_ UKE (VAGINA)
2_UTERUS
3_FALLOPIAN TUBES
4_OVARIES
😅Kuna muda inabidi kutumia Sarcastic language..Nimecheka kinoma daaah, mwenzako anaweza asielewe 😂😂😂😂😂, mkuu mwambie mwenzio huu ugonjwa ni wanawake tu ahahaha ahahaha labda kwa hawa wanaume walofanya pusay implants 😂😂😂, ujue nlivyoona Yes alafu nikaona fallopian tubes na ovaries ikabid niwe mpole daah
Zingatia hiyo P ya kwanza yaani Pelvic.Habari za mda huu wakuu,naomba kuuliza kama mwanaume anaweza kupata PID,na kama ndyo,inakuwa katika mfumo upi,na namna gani,maana wanawake wanapata PID kupitia njia ya tendo la ndoa!
Ahahaha daah ila bado sijajua the root of the question in hand na ndio kilichonivutia kufungua huu uzi…ila sawa sawa kwenye process ya kujifunza kuna mambo mengi, isije kuwa ndugu yetu kadanganywa mtoto wa kiume anaumwa pid ili hela zimtoke ndio anawakamata watu wake saivi kwa kumdanganya😅Kuna muda inabidi kutumia Sarcastic language..
Mie nahisi huyu anaumwa yeye..Ahahaha daah ila bado sijajua the root of the question in hand na ndio kilichonivutia kufungua huu uzi…ila sawa sawa kwenye process ya kujifunza kuna mambo mengi, isije kuwa ndugu yetu kadanganywa mtoto wa kiume anaumwa pid ili hela zimtoke ndio anawakamata watu wake saivi kwa kumdanganya
Aende hospitali akapime sasa kipimo haiwez kuwa jf aisee awah haraka kabla hiyo herpes haijawa severe… itakuwa nomaaMie nahisi huyu anaumwa yeye..
Ana Gono au kaswende.
Sasa anatafuta kuhakikisha je ni kati ya hayo mawili au PID?