Nimecheka kinoma daaah, mwenzako anaweza asielewe πππππ, mkuu mwambie mwenzio huu ugonjwa ni wanawake tu ahahaha ahahaha labda kwa hawa wanaume walofanya pusay implants πππ, ujue nlivyoona Yes alafu nikaona fallopian tubes na ovaries ikabid niwe mpole daah