Mwanaume akikuambia atakuoa, mwambie akajitambulishe kwenu

Jan 8, 2016
66
35
Kama utaona mpenzi wako anakwambia atakuoa, basi mwambie mpelekane kutambulshana kwa wazazi ndipo utakapogundua mwanaume anania ya kukuoa ukiona ameanza kigugumizi weka question tag.
 
akiweka kigugumizi na huku ameshakukula mda mrefu inabidi tu umvumilie uendelee kuliwa au inabidi usepe eb tushauri
unatakiwa kuendelea kumchunguza vzur huyo boyfriend wako kwan mtu wa kuoa anaeleweka tu na mtu ambae aoi anajulkan kwahyo hata kama ukiendelea kuwa nae mtu ambae hana nia nawe haitasaidia zaid ya maumivu mbelen bora uanze kuyazoea maumivu mapemaaaaa
 
Waoaji na wasio waoaji hawana alama usoni
 
unatakiwa kuendelea kumchunguza vzur huyo boyfriend wako kwan mtu wa kuoa anaeleweka tu na mtu ambae aoi anajulkan kwahyo hata kama ukiendelea kuwa nae mtu ambae hana nia nawe haitasaidia zaid ya maumivu mbelen bora uanze kuyazoea maumivu mapemaaaaa
asante mkuu
 
Hio mbinu ya kizamani,kuna wengine wanakutafutia wazazi feki au kukupeleka kwa mashangazi zao au hata wazazi wao halisi,yakikupata ya kukupata wanakuruka(damu nzito kuliko maji)
 
Back
Top Bottom