GreatApe
Member
- Sep 20, 2013
- 48
- 6
Mwanasiasa anasema,"sisi tuliobahatika kupata ubunge tufanye/tuseme/tuwajibike/tushauri......." this is only happening in Tanzania, wanachi wake wanamsikiliza lakini ndo hivyo ni kwasababu ya "mtoto wa fulani" au mshikapembe wa tajiri fulani hii ndiyo inayoua uwajibikaji nchini Tanzania jamani huu mimi binafis naudhika mpaka nasema huu ni use*** kwa taifa la Tanzania.Ukiwabana wanakimbilia slogans za wanasiasa, wanafilosofia au wanasayansi waliopita wengi wao wakiwa ni wafu amabao hawawezi kutoa utetezi au ushuhuda wa tafsiri za itikadi zao.
Nachokoza tu wanaJF
Nachokoza tu wanaJF