DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mwanasiasa Fadhili Fabian Ngajilo rasmi amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa mara ya tatu kupitia chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari Ngajilo baada ya kuchukua fomu hiyo kwenye ofisi kuu ya ccm wilaya ya iringa mjini amekishukuru chama cha mapinduzi CCM kwa kupata fursa hiyo huku akiweka wazi kuwa hakuna chama chenye kuleta maendeleo kama chama cha Mapinduzi CCM.
“Nimeamua kuchukua fomu kwa mara ya tatu, si kwa sababu ya tamaa, bali kwa sababu ya wito wa dhati kulitumikia jimbo langu. CCM ni chama makini cher dira na msimamo wa maendeleo namimi ni sehemu ya mfumo huo kwa miaka zaidi ya 20,” amesema Ngajilo