Ni aina ya muungano kioja uliosalia Duniani , upande mmoja una baraza la wakilishi , mawaziri wao, Rais wao, mikoa Yao, bendera Yao, wimbo wao, nk hata Ardhi Yao Ni marufuku mtu wa Tanganyika kuimiliki lakini wao Ni Ruksa kumiliki Ardhi Tanganyika , cha Zanzibar Ni cha Wazanzibar tu lakini cha Tanganyika ni cha woote, huo Ni muungano wa ajabu uliosalia Duniani.huu cio muungano ni muchangayiko
Ni nani anaeng'ang'ania ubaki huu muungano? Zanzibar zamani sana hatuutaki huu muungano kwa kuwa hatuna udugu wala faida nao ila Tanganyika bado wametukaba rohoZanzibar ni wajanja Kwa bara maana wanawachuna mpaka basi lakini bado hawajielewi tu.
NASHANGAA KUNA BUNGE HADI LA AFRICA MASHARIKI LAKINI TANGANYIKA HATUNA BUNGE.Zanzibar wana baraza la wawakilishi linalojadili mambo ya Zanzibar tu kiuhalisia lilitakiwa liwepo bunge la Tanganyika na bunge la jamuhuri ya muungano libaki kuwa la mambo ya muungano. Me nahisi Tanganyika ndo wameingia sehemu isiyowahusu
Ni Mkoloni Bwege anachunwa mpaka basiZanzibar ni koloni la Tanganyika
Kessy aliwahi kuropoka hivi hivi kwenye bunge la katba wakataka kumtoa meno wazanzibar kwa hasira. Naona kaamua kukumbushia.Mbona haya yote warioba alikuwa ameyaweka sawa, si ndiyo haohao kina kessy waliiharibuile rasmi ya Warioba. Tatizo ni pale CCM wanapojitekenya na kujiweka wenyewe
chukua maua yako mapema, mpo wachache wenye akili hizi:Kimsingi kuwe na bunge la Tanganyika ambalo pamoja na mambo mengine bunge hili litasaidia kujadili mambo ya Tanganyika ambayo si ya muungano kama lilivyo baraza la wawakilishi
Hatuhitaji kura, watu wa ZANZIBAR, nyie waTanganyika ndio mpambane mpate bunge lenu na serikali yenu, Zanzibar wana Serikali, bunge, na Raisi.Kura ya maoni Zanzibar inahitajika