Mwanasheria wa Zanzibar yuko sahihi kwa 100%

The Senetor

Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
41
Reaction score
23
Kitendo cha kufukuzwa kazi mwanasheria mkuu wa Zanzibar ni madhara ya kura ya wazi ambayo ilileta mtafaruku sana.Maana ingekuwa ni siri isingejulikana na pia uhuru wake wa kuchagua umeingiliwaa,pia mwanasheria huyu alijitetea kuwa serikali ya Zanzibar haikuwa na msimamo katika miundo ya serikali kati ya 2 au 3 hivyo alipiga kwa maslahi ya nchi na kwa utashi wake hata ningekuwa mimi lazima ningechagua mmoja wapo kama Boss wangu hana msimamo.

Pia Naamini hata UKAWA wangebaki na mjumbe wao angepiga kura ya Ndio nae pia angekuwa matatani.Chukulia katika kuikubali katiba wananchi nao watakiwe kupiga kura za wazi nadhani hakutakalika kutakuwa na mgawanyiko mkubwa kwenye jamii na hata machafuko, kwa mfano mwanaume anaweza kupiga kura ya Hapana na mkewe akapiga ya Ndio watoto nao wakapiga za ndio na hapana unadhani hiyo familia itakuwa salama?

Siku zote tutumie demokrasia ya kweli kwa kutetea hoja zetu na maslahi yetu na si kuinajisi demokrasia kupitisha uchafu, Hili liwe funzo kwa watawala wetu maana mnaweza kuleta machafuko makubwa sana kwa jambo dogo sana.Always knowledge will govern ignorance no matter how many times ignorance tries to lead at the end it will be naked and ashamed.
 
Hiyo sentensi ya mwisho baba, nimeipenda.
 
OTHMAN MASOUD ni SHUJAA WA PILI WA ZANZIBAR BAADA YA MAREHEMU KARUME .
 
Nakubaliana nawe kabisa. Hebu niambie, kama ungekuwa wewe ungefanyaje unapoona maslahi yako yanatishiwa kukukimbia? Watawala siku zote wanataka waendelee kutawala kwa vyovyote vile. Tambua kwamba wanajua sana wanachokifanya na wanajua matarajio, lakini wako radhi kwa lolote ili mradi mkate wao ni salama
 
Back
Top Bottom