GE2025 Mwanasheria Godfrey Maduhu ajitosa kuwani ubunge Jimbo la Kigamboni

GE2025 Mwanasheria Godfrey Maduhu ajitosa kuwani ubunge Jimbo la Kigamboni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Katika kile kinachoonekana ‘mbio za kugombea lango lililo huru’, mwanasheria Godfrey Maduhu amejitokeza na kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Jimbo hilo liko huru baada ya aliyekuwa mbunge wake, hayati Faustine Ndugulile kufariki dunia na kanuni za uchaguzi kuzuia kufanyika uchaguzi mdogo kutokana na muda uliokuwa umesalia kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Screenshot 2025-06-28 215808.png
 
Back
Top Bottom