Mwanasayansi aliyegundua mfumo wa 'Cut-Copy-Paste' afariki dunia

huyo alikuwa na akili dio utani hebu fikiria una highilight kwa kidole sentensi mfano halafu unagonga copy maandishi ya hiyo sentensi yanangangania kwenye kidole unaondoka nayp unaenda nayo mahali unatachi unagonga paste sentensi hiyo inatoka kidoleni kuingia
Aisee so maandishi yanakuwa kwenye kidole
 
ndio maana yake
So vipi kama nikikopi article kwenye device fulani ambapo based on ur theory ni kuwa maandishi yatajihifadhi kwenye kidole, na nikataka kupaste kwenye device nyingine kwa kidole hichohicho..je, nitafanikiwa kupaste hiyo article?
Halafu pia kama nikicopy maandishi fulani katika simu na wakati wakupaste nikatumia kidole cha mkono mwingine katika zoezi hilo nitafanikiwa kupaste au mambo yatagoma?
 
sijajaribu hilo sina jibu hebu haribu utupe mrejesho
 
Ni kuwa maandishi hayahifadhiwi kwenye kidole...yanahifadhiwa humohumo kwenye device... Kwenye tarakishi hatutumii kidole ila hizo option za cut, copy and paste zipo pia.
 
kwa hiyo niki highlight mfano paragraph humu jamii forums kwa kidole ni copy mfano jukwaa la siasa kile nilichokopy kwa kidole nataka nika paste jukwaa la biashara hayo maandishi yanakuwa kwenye sensor ya kidole au wapi? sababu ninakuwa nafunga kabisa jukwaa la siasa narnda kufungua jukwaa la biashara na ku padte kule inakuwaje
 
Yanakuwa stored within your device...Hakuna namna hayo maandishi yanaweza vuka screen yakajihifadhi katika kidole chako... Hata ukijaribu kukopi kwa kidole hiki ukapaste kwa kile sawa tu... Na huwezi copy maandishi kutoka device moja ukapaste ktk device nyingine hata ukitumia kidole kilekile.
 
Ni kuwa maandishi hayahifadhiwi kwenye kidole...yanahifadhiwa humohumo kwenye device... Kwenye tarakishi hatutumii kidole ila hizo option za cut, copy and paste zipo pia.
Labda utengenezwd mfumo wa wireless copy and paste na kuwe na cheap stahk ya wireless yaan nikicopy uku nikija upande wa pili nikipaste Ina tafasir na kuifanyia Kaz hzo data zinatoka device gani

kilicho akilini kitumie
 
So vipi kama nikikopi article kwenye device fulani ambapo based on ur theory ni kuwa maandishi yatajihifadhi kwenye kidole, na nikataka kupaste kwenye device nyingine kwa kidole hichohicho..je, nitafanikiwa kupaste hiyo article?
Halafu pia kama nikicopy maandishi fulani katika simu na wakati wakupaste nikatumia kidole cha mkono mwingine katika zoezi hilo nitafanikiwa kupaste au mambo yatagoma?
Kabla ya kuPaste nusa kwanza hicho kidole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom