Sasa watu mpo ktk matatizo hiyo hela unaitoa wapi? Ina maana nchi hii tunashindwa kufanya vitu muhimu kama hivi kuwa simple, dah! haya bhana tutafika tu
CCM mbele kwa mbele
mmeipenda wenyewe
Hapa Kazi tu
Ukitaka mabadiliko ya kweli Fanya maamuzi sahihi
Sasa watu mpo ktk matatizo hiyo hela unaitoa wapi? Ina maana nchi hii tunashindwa kufanya vitu muhimu kama hivi kuwa simple, dah! haya bhana tutafika tu
Sasa watu mpo ktk matatizo hiyo hela unaitoa wapi? Ina maana nchi hii tunashindwa kufanya vitu muhimu kama hivi kuwa simple, dah! haya bhana tutafika tu
tena hiyo 3000 ni kwa mgonjwa aliyepewa barua ya rufaa toka vituo mbali mbali vya afya,kama mtu hana barua ya rufaa anatakiwa atoe 6000.
Yote hiyo inatokana na ubishi tu mnaimbiwa kila siku kukata bima ya jamii 5,000 kwa kaya matibabu kwa mwaka mzima hamtaki sasa wameamua kupandisha bei ili mjiunge kwa nguvu
hujaijua serikali ya ccm ilipolenga inataka kuwe na taasisi ambazo itakuwa inakopa pesa kirahisi je unajua serikali ya ccm inadaiwa kiasi gani kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?
mifuko ya hifadhi ya jamii kuikopa serikali sio Tanzania tu,pesa haziwezi kukaa tu bank zisizunguke,hujaijua serikali ya ccm ilipolenga inataka kuwe na taasisi ambazo itakuwa inakopa pesa kirahisi je unajua serikali ya ccm inadaiwa kiasi gani kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?