GHrrrrrrr!!!!!!
kwani akicheza karate anageuka kuwa mwanaume?
nanii inafungika au?
Ataolewa na yule anaye mpenda
GHrrrrrrr!!!!!!
kwani akicheza karate anageuka kuwa mwanaume?
nanii inafungika au?
Ataolewa na yule anaye mpenda
bwna kaka hapo lazima uwe makini mana ukimzingua/ ukimtibua tu siku lazima atakupa kichapo ila inasemwa kuwa wanawake wa kitz wana nidhamu sana kwahiyo anaweza kuwa mpole tuu ndani ya nyumbawana jf hongereni kwa kazi!!!!. Jamani naombeni maoni yenu kuhusu mwanamke anayecheza karate anafaa kuolewa? Au inabidi aolewe na mcheza karate mwenzake? Au kama mwanaume achezi nilazima kujifunza kwani inawezekana kunakutofautiana ndana ya nyumba alafu ukala kisago na sie wanaume atuna chama cha kututetea. Hiii imekaa vipi wana jf?
Hau oldi aaaa yuuu mkuu, eeh?
Hii ni signecha yako 'we should use common sense although common sense is not always common'
Sasa wewe unataka kuoa karate au mwanamke?
mmmmmmhhh nani kakudanganya kuwa wanawake wa kiTZ ni wapole? 'kimya kina mshindo mkuu',ogopa hao unaowaita wapole,siku akikuchenchia............bwna kaka hapo lazima uwe makini mana ukimzingua/ ukimtibua tu siku lazima atakupa kichapo ila inasemwa kuwa wanawake wa kitz wana nidhamu sana kwahiyo anaweza kuwa mpole tuu ndani ya nyumba