Mwanangu katishwa na wenzake kwamba atafeli

Umeme wa istallation sio mgumu kiivo. Umeme mgumu ni ule wa electronics...
 
Umekuja kuwashtaki hapa ili?

Nadhani unachopaswa kufanya ni kumpa moyo mwanao na awapuuze hao failures
 
Hayo waliyomwambia wenzake nayakubali kwa 100%.





















NB: iwapo yanajumuisha mafunzo ya ukomandoo.

Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…