Mwanangu ficha maungo ya siri basi

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
1,871
Reaction score
1,242
Lilian Kamazima, ficha manyonyo basi mbele za watu. Nguo yako inaonyesha manyonyo ambao sio utamaduni wa kukuletea heshima au ndio biashara ni matangazo?
 
Good, nice of you, naona umerekebisha, ndio adabu tunayotaka kwa watoto wetu unaambiwa unasikia na kutekeleza. Self assessment!
 
Interview Channel 10 Baragumu tehe Tehe
 
Sio matangazo tu. Hata kufuta Msg... duh.
 
Habari kwa maneno unaongelea picha lkn haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…