Jitahidi Kuwa unakula kila Mara kwani kushiba kwako wewe ndo hutengeneza maziwa ya mtoto pia kula sana vitu vya majimaji na laini laini na usisahau kula mchemsho Wa pweza unasaidia sana kujaza maziwa. Jitahidi usimpe kitu chochote mwanao zaidi ya maziwa yako.