Mwananchi: Viongozi wa dini wamekuwa na kasumba ya udini katika siasa zao zinazojenga chuki kwa mwananchi, Serikali inajitahidi sana

Mwananchi: Viongozi wa dini wamekuwa na kasumba ya udini katika siasa zao zinazojenga chuki kwa mwananchi, Serikali inajitahidi sana

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
'Viongozi wengi wa kidini wamekuwa wakituendesha katika madhehebu yetu katika misikiti yetu lakini wengi sana wamekuwa na kasumba udini katika siasa zao, yaani kiongozi wa dini uko kanisani na wewe unakuwa Mwanasiasa unatengeneza chuki unaongea maneno ambayo yatakwenda kujenga chuki kwa huyo mwananchi dhidi ya serikali labda iliyopo madarakani kwaiyo yule mwananchi kile kitu haitoweza kutoka moyoni mwake kamwe na ndo maana tumepata madhara makubwa sana Oktoba 29 kwa sababu sisi viongozi wa dini wenyewe tumeshindwa kukaa kwenye mstari wetu."

Amesema hayo katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea Arusha kwenye ukumbi wa Centre House leo Machi 18, 2026, Kijana mmoja akichangia hoja.


 
Back
Top Bottom