Mwananchi: Najua kesho naweza kuamkia kuzimu, lakini Serikali lini italeta Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi?

Mwananchi: Najua kesho naweza kuamkia kuzimu, lakini Serikali lini italeta Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi?

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Kijana Adriano Amos kutoka Rukwa amemhoji Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa lini Serikali itaunda katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, akaongeza kuwa najua kesho naweza kuamkia kuzimu, lakini swali langu ndilo hilo.

Haya yanajiri katika ziara ya Waziri Mkuu katika mkoa wa Rukwa.
 
ccm wamekuwa ntelahamwe😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓 .....yaani wakikuteka wanakufira halafu wanamalizia kwa kukupiga nyundo ya kichwa.....NTELAHAMWE KILIKUWA NI KIKUNDI CHA WATEKAJI, WABAKAJI ,WAFIRAJI NA WAUWAJI HUKO RWANDA......
 
Suala la katiba na tume huru ya uchaguzi halitakiwi kuulizwa na mwananchi wa kawaida tena akiwa na hofu namna hiyo, lipo kisheria, tumewachagua wabunge wa nini sasa kama kila mwananchi anahoji anavyojisikia?
Hawa wabunge hawajachaguliwa na wadai katiba boss.
 
Hawa wabunge hawajachaguliwa na wadai katiba boss.
kwa hiyo huyo kijana alikuwa anauliza swali kwa nani kama hakuchaguliwa na wananchi? Kwa mujibu wa jibu lako, je, ilikuwa sehemu sahihi kwake kuuliza swali kama hilo?
 
Back
Top Bottom