Sijawahi kuona Radio hovyo kama hii
ghafla tu nilipoteza hamu ya kuisikiliza kutokana na pumba kuwa nyingi mno
wana tabia ya kuweka maoni yao km wao na wala si kupasha habari kitu ambacho si sahihi katika kutoa habari
uwa nasikiliza kipindi cha michezo tu,vingine vyote hovyooo
Nakushauri redio zipo nyingi tu mkuu,si lazima huwasikilize hawa wanafiki.ni heri huo muda ukatumie kunywa juice ya matunda fresh uongeze afya!!!