Mwananchi amwambia Mwigulu Nchemba "Diamond alituahidi Milioni 60 kuchangia ujenzi wa Shule, hajatekeleza"

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
654
Reaction score
1,598
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

Mwananchi mmoja mkazi wa Mtaa wa Senti, uliopo katika Wilaya ya Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, ametoa malalamiko yake kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, akieleza kuwa hadi sasa ahadi iliyotolewa na msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ya kuchangia kiasi cha shilingi milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi Senti bado haijatekelezwa.

Tukio hilo lilitokea Machi 10, 2026 wakati Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba aipozungumza na Wananchi wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa.
 
Huyo mwana nchi ni mpuuzi sana.. Hajui kutofautisha matendo ya hiari na ya shuruti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…