Mwanamuziki mrembo aliyeshika Afrika

Tyta big up kwa Picture
 
Last edited by a moderator:
Mblia Mbeli nathubutu kusema haijawai tokea she is SECOND TO none!!!
 
wewe hujaelewa. mdau alikuwa anamaanisha mbilia Bell alikuwa anasubiri kwa Yvone(hapo picha aliyoiweka) akimaanisha hamfikii kwa urembo wa yvone.
 
wewe hujaelewa. mdau alikuwa anamaanisha mbilia Bell alikuwa anasubiri kwa Yvone(hapo picha aliyoiweka) akimaanisha hamfikii kwa urembo wa yvone.[/QUOTE
Nashukuru mkuu, kwa kunielewesha ni kweli nilikua sijamuelewa hapo...thanks.
 
Kati ya maman mbilia Bel na Yvonne nani kifaa,

Wote wazuri Ila Yvonne ni πŸ”₯... Mbilia alijua kuzingatia urembo zaidi cc Supapawa
 
Kati ya maman mbilia Bel na Yvonne nani kifaa,

Wote wazuri Ila Yvonne ni πŸ”₯... Mbilia alijua kuzingatia urembo zaidi cc Supapawa
Vyone ni fayaaa πŸ”₯.
Mbilia tangu aliponisaliti na kuolewa na Tabu ley huku harusi ilifanyika angani niliumia sana.

Wapi binti yake Melody Tabu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…