Ni kweli..lakini haipendezi !hata mimi binti yangu sitamruhusu kabisa kupanga hata awe men!
Mi naichukulia tofauti sana sijui kwanini, niliolewa nikiwa naishi kwangu aiseeNi kweli..lakini haipendezi!ht mm binti yangu sitamruhusu kbs kupanga hata awe men!
Mi naichukulia tofauti sana sjui kwann, nliolewa nkiwa naishi kwangu aisee
Aaaghhhrr mi maisha nimefanya sana nimemaliza chuo mtaani nimekaa miaka 6 na mishe zanguKwa maisha ya sasa mm naona tabu!mie nilopomaliza tu chuo🤣nikaona kuishi na maza mnoko sitaweza...so nilipofika semester ya mwisho mahari ikatolewa!pyee!
Aaaghhhrr mi maisha nimefanya sana nimemaliza chuo mtaani nimekaa miaka 6 na mishe zangu
Wamepropose wawili na uchumba naahirisha ya mwisho broo akaniambia afu usituletee aibu apa akili yako sjui imeingiliwa nn 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mr ana bahati nkawa nshaamua kutulia nimechoka kugonganisha semi na pulling🤣🤣🤣🤣Hyo ndo raha sasa!...sio unatoka na akili za chuo chuo unajump kwenye ndoa!
😛😛😛 tungekuwa wazazi wa watoto tuliowazaa mi na wewe wangeishi raha sanaCha muhimu huwa ni tabia tu,hizo zingine ni mbwembwe tu
Wamepropose wawili na uchumba naahirisha ya mwisho broo akaniambia afu usituletee aibu apa akili yako sjui imeingiliwa nn 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mr ana bahati nkawa nshaamua kutulia nimechoka kugonganisha semi na pulling🤣🤣🤣🤣
ha ha ha sema tu majukumu mengi ungenizalia hata wawili😛😛😛 tungekuwa wazazi wa watoto tuliowazaa mi na wewe wangeishi raha sana