mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
unatakiwa uoe kwenye 30 za mwanzo, sasa 20 zote unazichezea hutafuti mtu uanze hata kufahamiana nae unafika 30 huna ramani.... stress zipogo tu😂Jichanganye ujute, kula maisha janja utaota upara kwa stress za mapenzi ambayo hayana hata muelekeo
Yani miaka 10 unajiandaa?unatakiwa uoe kwenye 30 za mwanzo, sasa 20 zote unazichezea hutafuti mtu uanze hata kufahamiana nae unafika 30 huna ramani.... stress zipogo tu😂
mimi sio shabiki wa kuchovya chovya😂Yani miaka 10 unajiandaa?
Na ww olewa tu maana unachamba zaidi ya Isha mashauzAiseee ahahahahhaa kwel Dar kuna Joto sana.
Kuna thread nilianzisha buana kuhusu binti fulani ambaye nilimkuta bikira, ni nurse kwa kwel ni mrembo sana.
Nakwambiaje mpaka juzi tumewekeana Miadi yakwenda wote kwenye graduation ya Mdogo wangu Tanga huko.
Binti nyumbani wanamforce aolewe sana, mimi tu nikiwa nae tumepangua ndoa zake 2. Naona sasa imeshindikana kabisa kunisubria maana nimebakisha mwaka mmoja wa kusoma, nasoma Miaka minne kozi ya Afya na nlimuahidi ntamuoa na ndiyo ilikuwa Plan yangu.
Jana nilidhani ni utani, leo nimeenda Hospital anapofanyia anapofanyia kazi kuconfirm.
Manzi anaolewa tarehe 12/ 11 wafanyakazi wapale wameniambi. Hiyo ni meseji alintumia jana.
Nimechoka Mpaka Ikabidi nicheke. Binti ana miaka 24 , mimi ni 23
Yaani mpaka jana asubuhi tumecheka vizuri and we were good.
Kupiga nilipiga vizuri mpaka alichechemea ila Shida nyumbani, Binti anatokea Tanga.
Anyway nimeamua Kufuta namba zake na memories zote. Tutajaribu tena Kwa mwingine.
Baada ya meseji hapo juu nilituma meseji nyingi sana na Nilikuwa nampenda Sikumcheat
Nimedate nae kwa miezi 6.
View attachment 2779069
Sasa nani shabiki?mimi sio shabiki wa kuchovya chovya😂
wazee wa 'kula ujana'Sasa nani shabiki?
Labda hao ila we bado ukishabamizwa vizuri utaelewa cha kufanya.wazee wa 'kula ujana'
Pole sana kijana piga shule! Tafuta mwingine...hapo usingetoboaAiseee ahahahahhaa kwel Dar kuna Joto sana.
Kuna thread nilianzisha buana kuhusu binti fulani ambaye nilimkuta bikira, ni nurse kwa kwel ni mrembo sana.
Nakwambiaje mpaka juzi tumewekeana Miadi yakwenda wote kwenye graduation ya Mdogo wangu Tanga huko.
Binti nyumbani wanamforce aolewe sana, mimi tu nikiwa nae tumepangua ndoa zake 2. Naona sasa imeshindikana kabisa kunisubria maana nimebakisha mwaka mmoja wa kusoma, nasoma Miaka minne kozi ya Afya na nlimuahidi ntamuoa na ndiyo ilikuwa Plan yangu.
Jana nilidhani ni utani, leo nimeenda Hospital anapofanyia anapofanyia kazi kuconfirm.
Manzi anaolewa tarehe 12/ 11 wafanyakazi wapale wameniambi. Hiyo ni meseji alintumia jana.
Nimechoka Mpaka Ikabidi nicheke. Binti ana miaka 24 , mimi ni 23
Yaani mpaka jana asubuhi tumecheka vizuri and we were good.
Kupiga nilipiga vizuri mpaka alichechemea ila Shida nyumbani, Binti anatokea Tanga.
Anyway nimeamua Kufuta namba zake na memories zote. Tutajaribu tena Kwa mwingine.
Baada ya meseji hapo juu nilituma meseji nyingi sana na Nilikuwa nampenda Sikumcheat
Nimedate nae kwa miezi 6.
View attachment 2779069
soma kilichotokea acha maneno https://www.jamiiforums.com/th...logwa-kwao-ni-wachawi.2148123/Na ww olewa tu maana unachamba zaidi ya Isha mashauz
Naomba unipm kaka please. Nimeshindwa jinsi ya kuja inbox kwakohapana ningetoboa safi sema shida ni hapa