Kakudanganya nani?πSi una 35s wewe? π€£π€£π€£
Unataka kuoa uzeeni
Huyo binti bora alivyojiongeza lasivyo angejuta πππKazi ipo ila pole yake ndio maisha
Nina NIDA yako π€£π€£π€£Kakudanganya nani?π
Wacha wee π€£π€£π€£Nimeikariri ila sitamtafuta akifanikiwa kuolewa
Yeye, wewe usingeweza kumuoa bado hujapishana na mishale!!Yeye au mimi?
SawaSawaKupiga nilipiga vizuri mpaka alichechemea
Nipo nimekaa pale πHamna sipendi kushare aisee
Na angejuta kweli maana nyie π¬Huyo binti bora alivyojiongeza lasivyo angejuta πππ
Thubutuuuuu!! π€£π€£π€£Bora nkanunue huko ila yeye hapana.