Aisee kweli kama vile Maria Sarungi na Rita Paulsen....Behind every successful woman there is a successful man, huyu mama aliolewa na mzungu na fweza mbaya ndio aliyemtoa ingawa nae ni hard worker. Hongera mama hoteli zako ni nzuri mno
Huyu mama ameolewa na mswidish kitu ninachomsifu ameweza kumbana huyo mzungu mpaka wakainvest Tanzania kiukweli amefanya kitu kizuri.Changamoto kwa wamama wengine mnaopata wazungu wenyeuwezo mkumbuke kuinvest nchini mwenu.
hongera zake nae hajajibweteka.Behind every successful woman there is a successful man, huyu mama aliolewa na mzungu na fweza mbaya ndio aliyemtoa ingawa nae ni hard worker. Hongera mama hoteli zako ni nzuri mno
Dada yule ni chapakazi kwelikweli kama wengine wa namna hiyo. Tofauti ni kwamba chapakazi wengine wanashindwa kupiga hatua kama hizo kutokana na uoza ule iliotapakaa kila pahala. Kwa maneno mengine, biashara zingine bila kigogo referee huenda zikakosa elements flani za ubebaji. Thats reality. Sasa Mama ZM, aliyekuwa Waziri wa Tourism kipindi kile ....... unaweza connect dots!
So...!
Viongozi ni binadamu kama sisi,wana marafiki wafanya biashara kama sisi na baadhi yao wana mafanikio makubwa katika biashara zao.KUwahusisha viongiozi na mali za marafiki zao bila ushahidi wowote ule ni mambo ambayo hayaendani na great thinkers.Zara = Zainab + Zakhia Meghji....tafakari
Kuna campsite ngapi Ngorongoro? Nani lazima uwe mjumbe wa bodi ili uweze kufungua campsite?Alimuingiza kwenye ujumbe wa Bodi ya Ngorongoro,, kwa kutumia nafasi yake kama mjumbe ka set campsite ndandi ya hifadhi
Zainab ni mmiliki na ni mwenye mali, ana haki ya kumchagua yeyote yule ambae anaweza kuinua maslahi ya kampuni zake.Alimuingiza kwenye ujumbe wa Bodi ya Ngorongoro,, kwa kutumia nafasi yake kama mjumbe ka set campsite ndandi ya hifadhi
Kuna campsite ngapi Ngorongoro? Nani lazima uwe mjumbe wa bodi ili uweze kufungua campsite?
Kwa mujibu wa sheria Zakia Meghi alikuwa anatakiwa kuteua wajumbe wa bodi, kuliwa na ubaya gani kumteua Zainab?
Hongera sana hii inaonyesha tukiamua wanawake tunaweza