wolfman Jr
New Member
- May 16, 2020
- 3
- 2
Yani inabidi kusimama kwenye maombi hali mbaya huko tunakoelekeamambo ya uchumi wa kati 😂😂
kwa kweliYani inabidi kusimama kwenye maombi hali mbaya huko tunakoelekea
Mm sioni cha kushangaza hapa.. Mbona kuna wanaume wengi wanazalisha wanawake na wanawakataa watoto hamuingii kwenye hayo maombi? Wanawake wanatupa watoto mpaka chooni hamuingii kwenye maombi, wengine wanatoa mimba hamuingii kwenye maombi. Sasa kijana kajitokeza kaeleza ukweli kwamba yy anataka mtoto tu sio ndoa tayari mnataka kuingia kwenye maombi[emoji38][emoji38][emoji38]... hebu msimfokeeYani inabidi kusimama kwenye maombi hali mbaya huko tunakoelekea
🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂Mm sioni cha kushangaza hapa.. Mbona kuna wanaume wengi wanazalisha wanawake na wanawakataa watoto hamuingii kwenye hayo maombi? Wanawake wanatupa watoto mpaka chooni hamuingii kwenye maombi, wengine wanatoa mimba hamuingii kwenye maombi. Sasa kijana kajitokeza kaeleza ukweli kwamba yy anataka mtoto tu sio ndoa tayari mnataka kuingia kwenye maombi[emoji38][emoji38][emoji38]... hebu msimfokee
Hoja nzito sana hii!Unatafuta Incubator mkuu?, unafanya single moms tuongezeke mitaani eeh, kwanini usisubiri tu ukiwa tayari ukaoa na mkalea pamoja mtoto/watoto wenu?
Nipo hapa kutafuta mwanamke ambae
Kuna wapo wengi humu ndani walishazaa na hawana mpango wa ndoa si bora wakazaa tenaUnatafuta Incubator mkuu?, unafanya single moms tuongezeke mitaani eeh, kwanini usisubiri tu ukiwa tayari ukaoa na mkalea pamoja mtoto/watoto wenu?