Mwanamke wa Kimakonde na staili ya ukarimu???" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke wa Kimakonde na staili ya ukarimu???"

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ngoshwe, Feb 19, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wanawake wa Kimakonde, Kimakua na Kimawia wanasifika kuwa ni wakarimu sana kwenye masuala ya "kijamii", wakati fulani ukienda mikoa ya kusini kikazi na kupanga nyumba ya kulala wageni (guest house) , usiku unasika mlango unagongwa kwa ile staili ya "house keeping" kwenye hoteli kubwa …ukifungua unakutana na binti mrembo amejifunga kanga moja tu na kabeba chungu kidogo cha cahula kichwani . Ukimuuliza kulikoni, tena pale usiku, anakujibu:
  " eh, Kaka, mi kuja kumwazima n'geni…(akimaanisha kakufuata weye kukuazima..).," …
  ukiuliza ikoje, anakujibu:
  " ehhhhh, giza lote hili, kukufutanwewee, chui, utaleleje nyumba yote hii peke yako bwana wewe ?"…(hapo sijui utasemaje tena!) ….
  Mwingine ukiwa unatembea ukidondosha chocho chenye sauti ya sarafu akisikia anakuuliza

  " mh, eti kaka hiyo chilingi au nchumali? (yaani ni shilingi au msumari?)....ukijiubu "shilingi" anakujibu kwa tabasamu la aina yake la kicheko kidogo cha mbali huku kakunja shingo yake upande:

  …."nh, miye kun'nogea hiyo chilingi bha (yaani anapenda hela)basi kama unayo nyingi, nipege basi bwana wewe.!".

  Wakati staili ya kukubaliwa kwa mwanamke wa kinyalukolo ni "niangusege bhe, si sambi sako mwenyewe...."… staili ya kule Ntwara, Lindi, Masasi, Newala na Nachingweha "ukiomba" unajibiwa:

  "mmh kaka, mwenzio kunnyima ntu kitu, n'ngali kitu n' nacho,.... tena Nnungu kunipa bure,..ah, najiskia huruma kweli mwenzio..!".. (Nnungu = Mungu).
   
 2. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Utakapokuwa kitandani ukiwa marehemu mtarajiwa wa ngoma utajutia hiyo bure!
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  nangu baaaaaaaaaaaaa
   
 4. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Chee, bwana wewe mambo haya ya wamakonde kun'nogea mimi somo, bhaaa!
   
 5. kui

  kui JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  Etiii, ungekuwa ugali ungesema atamaliza, lakini kitu anaacha hapohapo....usiwe nchoyo bana!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,286
  Trophy Points: 280
  Jeni atuthibitishie swala hili
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Unawatafutia dada zako soko eeeh?
   
 8. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mma, kujuae bwana wewe? kwani Mmakonde chi Ntu? Kwanza Mamakonde kumaliza madarasa yote ya mahaba bana!, wengine kufanya kujifunza!
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,424
  Likes Received: 3,786
  Trophy Points: 280
  kwani viiiipiii...??? n'tu kun'tafutia ssookoo dadyake fibayaa.......... baaa achaaa unookoo
   
Loading...