Wewe uliolewa ukiwa na umri gani..?Ni kweli, Mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age).
Baada ya hapo ni aibu kweli.
Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.
Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Yesu alitoa hii kauli akatuachia roho mtakatifu, wewe unatuachaje??Nitarudi
Hamna mbona kuna baadhi ya thread naandika maneno mengi nacoment kutokana na uziKwanini comments zako mara nyingi ni neno moja tu?
Sasa unijibu kwa maelezo si kwa neno moja [emoji23] [emoji23]
Ukifika 30 utaelewa tuHuwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahamasishaje yaan...kwa kuwaletea waoaji au..?nahamasisha wanawake waolewe mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesu alitoa hii kauli akatuachia roho mtakatifu, wewe unatuachaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau kwa waganga, ndoa kwa mwanamke ni jambo la muhimu sana zaidi ya ajira. Kuna Sista mmoja alimaliza chuo elimu ya juu na akapata kazi ila ndoa ikawa ngumu kwake ilimbidi amforce mshkaji mmoja wa Kijiweni ilimradi na yeye apate baraka za ndoaUsiombe yakukute utamaliza nyumba zote za ibada
Tatizo mnaingia kwenye ndoa kwa kulazisha na kukurupuka mwisho wa siku mnakuja kulalamika vitu ambavyo havina kichwa wala mguu.Mashairi haya ndio yamewapoteza wengi sana
Habari kwanzaAibu vipi mkuu na siku yako haijafika Mungu ndio anaepanga
Haya utayaekeza mbele, watakapo lala na wewe mbeleeeHee kwani uongo ?? Katajwa mtu kwani. Inshort kama mtu anajijua she needs to CHANGE !!
Sent from Oxford Circus, London. UK
Bahati mbaya hayatonikutaUsiombe yakukute utamaliza nyumba zote za ibada
Ndio maana unaona haiba umuhimu, embu fikiria kipindi ulo eji hizo,Yanikute wapi ndugu? Nishavuka hizo age
Sijawahi ona aisee. Nahisi hii ni comment ndefu ya kwako mimi kuiona.Hamna mbona kuna baadhi ya thread naandika maneno mengi nacoment kutokana na uzi