Kweli umsihi mwanamke kwa gazeti reeeeefu halafu mwanaume kaaya ka mistari miwili kweli[emoji134][emoji134][emoji134]Nukta ya mwisho amesihiwa mwanaume pia...hatujajisahau.
Hamna ubichi wowote!We hebu tuwache, bado wabichiiiiii.
Amefanya lini hiyo risechi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo, we mwanaume za kupotea JF?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mwanamke upo?
Wewe na wenzio wa humu mnatosha kabisa kuwa sample.Amefanya lini hiyo risechi?
Alitumia sampo saizi ya ngapi?
Nimekumiss myNzuri si unajua tena majukumu.
Kwenye hii dunia yenye watu billion saba?Wewe na wenzio wa humu mnatosha kabisa kuwa sample.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye hii dunia yenye watu billion saba?
Anyway, mwambie aje anijaribu!
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanaume ambaye ana mwanamke mmoja tu na anamhudumia kikamilifu huyo mwanamke mahitaji yake yote kiuchumi ndo anayestahili kufanyiwa hayo yote na huyo mwanamke wakeKwenye hii dunia yenye watu billion saba?
Anyway, mwambie aje anijaribu!
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Karibu tenaNimekumiss pia mamsap wangu, anyway nimerudi tena jf.
Matokeo yake wanaume wanaona ndoa ni hisani kwa mwanamke, hivyo ni juhudi zake kuhakikisha anabakia humo.Wakati jamii iko busy kumuandaa mtoto wa kike, wanasahau mtoto wa kiume!
Ndoa imara inajengwa na mke na mume wenye maadili, upendo, heshima na uvumilivu!
Karne ya leo mtoto wa kiume naye apewe elimu ya ndoa!Matokeo yake wanaume wanaona ndoa ni hisani kwa mwanamke, hivyo ni juhudi zake kuhakikisha anabakia humo.
Lakini bado mtoto wa kiume hapewi elimu ya kutosha!Ndio maana wote wame aswa hapo juu.