Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Mwanamke shepu bana haswaa linapo kuja swala au mpango mzima wa mapenzi.
Hata kama unakashepu kakuzuga basi piga pamba ambazo zinaweza kuonyesha kashepu kenye mvuto.
Unakuta n'tu ana miguu ka chelewa anavaa minskirt alafu huku juu ana bonge la mzigo anaonekana kituko lakini angevaa nguo nyingine hapo tayari angetengeneza mvuto wa kimapendi kwa jinsia ya upande wa pili.
Mwanamke shepu jamani

akili zako sio nazidi kuamini aliyekulisha sumu nenda akutapishe siye uliyemtajaBonge la sofa .... duh...
akili zako sio nazidi kuamini aliyekulisha sumu nenda akutapishe siye uliyemtaja
Hoyeeeeee
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
vijana bwana utasikia, dada yule ana macho mazuri!
utadhani macho ndo yanayoliwa!
huyu shosti akikaa anaweza kuanguka kwa kukosa balance. Hips hajajaaliwa hata! Mchina ana makusudi kama mwafulani.
Weye inaonekana una Sony wega flat screen inch 26? Angalau pigapiga mchina ntu apate nyama za kushika bana