Sigara Kali JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 3,708 Reaction score 8,746 Aug 22, 2019 #1 Yani kama kachorwa.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,258 Reaction score 13,265 Aug 22, 2019 #2 Wapi?
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,745 Reaction score 29,220 Aug 22, 2019 #3 Sigara Kali said: Yani kama kachorwa.View attachment 1187883 Click to expand... Ila toi ana attend Kama kawa, au sio?
Sigara Kali said: Yani kama kachorwa.View attachment 1187883 Click to expand... Ila toi ana attend Kama kawa, au sio?
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Aug 22, 2019 #4 Mwanamke mzuri mwenye mume😛
Yamakagashi JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 8,613 Reaction score 17,638 Aug 22, 2019 #5 Mashalah Mvutishe ganja huo mdomo uwe mweusi kidogo Huo weupe kwenye lips unanitatiza
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,868 Aug 22, 2019 #6 Sigara Kali said: Yani kama kachorwa.View attachment 1187883 Click to expand... unataka kumrubuni bint yangu ??
Sigara Kali said: Yani kama kachorwa.View attachment 1187883 Click to expand... unataka kumrubuni bint yangu ??
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,868 Aug 22, 2019 #7 kawoli said: Ila toi ana attend Kama kawa, au sio? Click to expand... kawa kawa na harufi inavuta nzi kawaida tu
kawoli said: Ila toi ana attend Kama kawa, au sio? Click to expand... kawa kawa na harufi inavuta nzi kawaida tu
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,503 Reaction score 29,904 Aug 22, 2019 #8 Yupo kama baby kapeace
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 8,076 Reaction score 17,463 Aug 22, 2019 #9 Mkuu hiyo make up na post processing ya picha huioni? Literally amechorwa.
Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,845 Reaction score 4,775 Aug 22, 2019 #10 Wanakuaga na bonge za mapango maana unakuta kashapita kwa watu 10 minimum wanapigwa sound sana na kuna muda wanapanua yaishe.
Wanakuaga na bonge za mapango maana unakuta kashapita kwa watu 10 minimum wanapigwa sound sana na kuna muda wanapanua yaishe.
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 Aug 22, 2019 #12 Mother Confessor said: Mwanamke mzuri mwenye mume Click to expand... kwaiyo tusio na waume ni wabaya au?
Mother Confessor said: Mwanamke mzuri mwenye mume Click to expand... kwaiyo tusio na waume ni wabaya au?
Ummayed JF-Expert Member Joined May 21, 2019 Posts 6,155 Reaction score 2,581 Aug 22, 2019 #13 Sigara Kali said: Yani kama kachorwa.View attachment 1187883 Click to expand... Mkuu kabila gani huyo jaman nitafute km huyoo??!!!!! Kumuona tu stimu zimepanda.
Sigara Kali said: Yani kama kachorwa.View attachment 1187883 Click to expand... Mkuu kabila gani huyo jaman nitafute km huyoo??!!!!! Kumuona tu stimu zimepanda.
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,179 Reaction score 34,435 Aug 22, 2019 #14 kawoli said: Ila toi ana attend Kama kawa, au sio? Click to expand... Inahusiana na nini ama unaandika ukiwa toi?
kawoli said: Ila toi ana attend Kama kawa, au sio? Click to expand... Inahusiana na nini ama unaandika ukiwa toi?
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,179 Reaction score 34,435 Aug 22, 2019 #15 Sijuti said: Wanakuaga na bonge za mapango maana unakuta kashapita kwa watu 10 minimum wanapigwa sound sana na kuna muda wanapanua yaishe. Click to expand... Maneno ya mkosaji. Na wa hivi humpati ng'o
Sijuti said: Wanakuaga na bonge za mapango maana unakuta kashapita kwa watu 10 minimum wanapigwa sound sana na kuna muda wanapanua yaishe. Click to expand... Maneno ya mkosaji. Na wa hivi humpati ng'o
Ummayed JF-Expert Member Joined May 21, 2019 Posts 6,155 Reaction score 2,581 Aug 22, 2019 #16 Starboywiz said: View attachment 1187933 Click to expand... Really black is beauty
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,197 Aug 22, 2019 #17 Starboywiz said: View attachment 1187933 Click to expand... Wow... ni mzuri saana. Kuna audio moja ya mkenya nilikuwa naisikiliza anasema.. Jamani Mungu wa ajabu saana oneni alipoweka utamu. -kaweka utamu kwenye nanasi. -kauweka utamu pia kwenye machungwa -mwingine ndiyo huo kautupa kwa wamama. Sikuimaliza niliishia kucheka saana...hapa naulizwa huo utamu wa wamama ndiyo upi...
Starboywiz said: View attachment 1187933 Click to expand... Wow... ni mzuri saana. Kuna audio moja ya mkenya nilikuwa naisikiliza anasema.. Jamani Mungu wa ajabu saana oneni alipoweka utamu. -kaweka utamu kwenye nanasi. -kauweka utamu pia kwenye machungwa -mwingine ndiyo huo kautupa kwa wamama. Sikuimaliza niliishia kucheka saana...hapa naulizwa huo utamu wa wamama ndiyo upi...
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,948 Aug 22, 2019 #18 google helper said: kawa kawa na harufi inavuta nzi kawaida tu Click to expand... Inaonekana hiyo ID yako ina depict jinsi ulivyo, hivi umekosa hata nguo ya mtumba??, kwanini unafuama??😁😁
google helper said: kawa kawa na harufi inavuta nzi kawaida tu Click to expand... Inaonekana hiyo ID yako ina depict jinsi ulivyo, hivi umekosa hata nguo ya mtumba??, kwanini unafuama??😁😁
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,948 Aug 22, 2019 #19 Mother Confessor said: Mwanamke mzuri mwenye mume😛 Click to expand... Yeye kazungumzia "urembo", urembo na uzuri ni vitu tofauti. Uzuri ni kuhusu tabia na urembo ni muonekano wa kuvutia wa mwili.
Mother Confessor said: Mwanamke mzuri mwenye mume😛 Click to expand... Yeye kazungumzia "urembo", urembo na uzuri ni vitu tofauti. Uzuri ni kuhusu tabia na urembo ni muonekano wa kuvutia wa mwili.
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 14,971 Reaction score 21,061 Aug 23, 2019 #20 Sigara Kali said: Yani kama kachorwa.View attachment 1187883 Click to expand... Hakuna kitu mnaniudhihumu jf kusifia ujinga! Tushawaambia: mwanamke hasifiwi uzuri nje ya mashindano ya urembo. Nje ya mashindano, kila mwanamke ni mzuri. Kumsifia mwanamke kama bidhaa ni uzalilishaji usiomithilika. Sasa huyo mzuri, wengine ni wababaya? Uzuri wa mwanamke haupo specific. Kama ni sura, kila amuangaliaye mwanamke, kunakitu anachovutiwa nacho, ndiyomaana ya kusema uzuri wa mwanamke umo machoni mwa ampendaye. Kwa hiyo kila mwanamke ni mzuri na mrembo kuliko unavyodhania wewe.
Sigara Kali said: Yani kama kachorwa.View attachment 1187883 Click to expand... Hakuna kitu mnaniudhihumu jf kusifia ujinga! Tushawaambia: mwanamke hasifiwi uzuri nje ya mashindano ya urembo. Nje ya mashindano, kila mwanamke ni mzuri. Kumsifia mwanamke kama bidhaa ni uzalilishaji usiomithilika. Sasa huyo mzuri, wengine ni wababaya? Uzuri wa mwanamke haupo specific. Kama ni sura, kila amuangaliaye mwanamke, kunakitu anachovutiwa nacho, ndiyomaana ya kusema uzuri wa mwanamke umo machoni mwa ampendaye. Kwa hiyo kila mwanamke ni mzuri na mrembo kuliko unavyodhania wewe.