Wewe Carleen unafaa una vigezo VYOTE 😉 changamka sasa1.Mweupe ama light skin 2.Bikra
3.Mwenye shepu 4.mwenye heshima
5.asiependa starehe
6.asiye na dharau na mcha mungu.
Ninaomba mungu anipe mke mwenye hiv vigezo.

Mungu hayupo humu akaombe kanisani au msikitini huko! Hivyo vigezo sina hata kimoja🫢
Mie cheusi mangara! Weupe natoa wapi mkuu? Umri kama ni kadogo takatesa mno hata sikataki!Hajasema kuhusu umri!
Afu we mweupe lakini..
Umri 20-25Hajasema kuhusu umri!
Afu we mweupe lakini..