Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Sio wote wako hivo..kuna wanawake wanajitambua na wana mipaka
Weka picha tafadhali...
ha ha haMnazidi kunijaza stress tu humu
hata kwene 100000 hupati ata mmojaKwenye 1000 unapata 1
Ukisikia yalaaaaaa ujue tayari.
Mkuu utakua umezama baharini ehh
hata kwene 100000 hupati ata mmoja
Kosa sio lao, ni la mwanaume kwa kuwa wanaogelea ununio beach ni waogeleaji kama unaolinda coco.Tufanye mgomo wa Taifa wa kupinga michepuko watatulia tu kwao Ila kwa wale wasio na hati miliki ya mwanaume hata mmoja ni shiiida mniwie radhi tafadhar ni mtazamo tu haitakaa itokee.
HATA KATIKATI YA MIGUU YAO NI KAMA BAHARI.
Ndio maana nimemalizia kwa kusema japo haitakaa itokeeMiaka bilion haiwezkan
Wanaume nadhani tumeshaelewa nini nina maanisha hapa. Usije hata siku unasema unamfuatilia mwanamke hutafanikiwa hawa wenzetu wanasiri kubwa sana huwa wanaziweka moyoni. Wanaroho zaid ya chuma ndomana tunaambiwa tuishi nao kwa akili
"Mwanamke ni kama bahari unalinda coco beach wenzako wanaogelea ununio beach"