Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,348
Naona hapo wapigania haki za wanawake wabadilishe na hapo sasa tuone siwanikiuta wenyewe miamba
mkuu wabadilishe biblia? π π πNaona hapo wapigania haki za wanawake wabadilishe na hapo sasa tuone siwanikiuta wenyewe miamba
kipi hatusomi my dearKm ni chombo kisicho na nguvu, mbona mnaambiwa mkae na sisi kwa akili??
Tatizo kwenye biblia mnachagua vifungu vinavyowapa faraja, vingine hamsomi.!!
kitu kama hichoChombo cha mbege au
π π π ubwege wako tu mkuumh! chombo kisicho na nguvu mi mbona jana hicho chombo kimenipiga kichwa cha pua kabla sijafanya chochote akaniwahi kende hakuzibinya alipikicha,halafu akazivuta! nilipovutika ndo akazibinya sasa! kelele nilizotoa ziliamsha umati wa viumbe mbalimbali sikuwahi kutoa kelele kama ile! haya hizo nguvu unazosema hawana zimetoka wapi...??
aya gani hiyo mkuuNafikiri ni lugha tu inayotumika katika Biblia, haimaanishi chombo kikombe ama bakuli.
NB: βEeh Baba wa mbinguni naomba ukapate kugusa nafsi ya kila mmoja mahala hapa, mimi ni chombo tu katika kuieneza injili yako.β (Ke/Me).
Sio aya, ni maneno yanayotumika muda wa kupokea neno (Mhubiri).aya gani hiyo mkuu
Disgrace....ππΎmke!!!
sasa mkuu, au basi π π πSio aya, ni maneno yanayotumika muda wa kupokea neno (Mhubiri).
but yeye yupo comfortable hawazi wala nnDisgrace....
washenzi sana hawa jamaa. wanatukataza kuoa wake wengi, wao wanaolewaDisgrace....
nadhani hawazi. na moto anapelekewa. ila hapana aiseebut yeye yupo comfortable hawazi wala nn
yani wangewekewa na kizazi haoππΎππΎnadhani hawazi. na moto anapelekewa. ila hapana aisee