Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,561
- 63,052
Wazo lako ni muhimuNitarudi
Mkuu vipi,tupatie majibuMh!.
Tupe majibu mkuuAiseeee...
Wakike ni yupi?Mwanamke ni binadamu yeyote mwenye uke!
Hapo nimejibu kwa ufupi.
Review my comment.Mkuu vipi,tupatie majibu
Nimekupata mkuu;wakike na mwanamke kuna tofauti gani?Yeyote mwenye jinsia ya ke ni mwanamke.
Lakini katika kuwa mwanamke, kuna majina kutokana na umri pamoja na mambo mengine.
a)Msichana ni mtoto wa kike ambaye havunja ungo au kubalehe.
b)Binti ni mtoto wa kike aliyevunja ungo na kupevuka. Vinaanza kujifunza kupigwa miti hapa.
c)Mama ni mzazi wa kike aliyezaa na kupata watoto.
d)Bibi ni mama ambaye umri umeshatembea.
e)Mgumba ni mwanamke ambaye hajafanikiwa kupata mtoto.
ha ha ha ha utamjuaje huyu amekomaa kiakili?aliyekomaa kiakili na yupo tyr kuongoza wengine (familia) huyo ni mwanamke
Hapo ndipo ugumu ulipoMwanamke ni nini ?
Wa kike ni nini?
Tuanzie hapo?