Mwanamke na Mtwangio

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Hope muwazima...! Mimi bado ninaendelea Kulia na wanaume wenzangu. Sipo hapa kuchochea , au kusema kuvuruga ndoa au kufanya wanaume tuwe wanyanyasaji hapana.

Kusudi langu ni kuwajenga wale wanaume wenye mioyo myepesi waweze kuwa na mioyo migumu ya kishababi na ya kiume ukweli. Sio kama leo hii wanaume tunavyo lia lia na hawa wanawake wasio jielewa.

Naona wimbo kubwa la wanaume kulalamika kuwa wanagongewa na kuanza kujiliza liza humu ni hivi papuchi ya mwanamke ni yake yeye na aina hatimiliki . Kuwa hii papuchi itamilikiwa na mwanaume flani hapana. Hivyo wanaume tuache tabia ya kujimilikisha viungo vya watu .

Mwanaume na akili zako unaanzaje kujimilikisha papuchi ambayo haupo nayo na wala hauna document zozote zinazo kutambulisha kuwa ww ndio mmliki. Yanini kujipa presha kwa mambo usiyo kuwa na uhakika navyo...?

Mwanamke yupo kwa kazi hiyo kutwangwa so acha kujimilikisha vitu ndio maana leo anaweza kuwa mke wa john kesho asubuhi na mapema akawa mke wa juma na sheria zikabariki hilo kwa nini uumie kwa mambo yalio nje ya uwezo wako.....? Kama ilivyo kwa wanawake wa sasa kuishi nasi kwa lengo maalum kwa nini na sisi isiwe hivyo....? Huwezi ukasema unawekeza upendo kumbe mwenzio yupo kwako kwa sababu ya kumlipia kodi ya nyumba huoni kama huu ni uduanzi....?

Na sisi tuishi hivyo tuwe na lengo maalum kwa wanawake yaani kuwe na mwanamke waku mpiga mashine tu bila malengo, awepo wa kutuzalia, awepo wa kutulelea awepo wa kuishi nae ili ngoma ibalance. Maana tumechoka na kulialia humu jf na wanawake wasio jielewa.

Wanaume ifike mahali tujifunze kuishi maisha yetu bila kuwategemea hawa wanawake. Mbona babu zetu waliweza kwa nini sisi leo tumekua mafala sana yaaini imefikia hatua yaani unalipa maha,unagaramia sendoff, unagaramia harusi, yaani kila kitu alafu mwisho wa siku unakuja kumpigia magoti huyo mtu ambaye yeye katika mahusiano yenu amechangia K tu .....? Wewe ni takataka, tunataka kufanya mapinduzi tuachane na huu uduanzi . Men let's stand as a man ...ndio maana mwenyezi Mungu alitupatia misuli migumu, sauti nzito, sura za kutisha na roho ngumu kwa nini tunashindwa kuvitumia tunakwama wapi.......?

Wajibu wa mwanaume
=Fanya kazi.
=Ishi maisha yako.
=Kuwa na msimamo.
=Saidia jamii.
=Penda familia yako kama inapendeka lakini.
=Heshimu kila mtu ila kwa wale ambao watataka wasiheshimiwe na wewe usiwanyime kuwapa wanacho taka.
=Fundisha vijana hasa wa kiume jinsi ya kusurvive katika ulimwengu huu ulio jaa wanawake wasio jitambua.

Ukiweza kuishi hivyo hakika tutaokoa vijana wengi sana na tutarudisha heshima yetu kama wanaume ilio potea na kuchezewa na wanawake wasio jielewa.


Happy Friday everyone......!
 
Tatizo hilo mkuu, yaani mtu umemtolea mahari, alafu aende kugawa kwa wanaume wengine kisa tu eti sina hatimiliki nayo

Labda hujui maumivu ya kugongewa mzee

By the way, silazimishi mwanamke wala mapenzi.

Akiona simfai anaweza kwenda
 
Tatizo hilo mkuu, yaani mtu umemtolea mahari, alafu aende kugawa kwa wanaume wengine kisa tu eti sina hatimiliki nayo

Labda hujui maumivu ya kugongewa mzee

By the way, silazimishi mwanamke wala mapenzi.

Akiona simfai anaweza kwenda
Bro mimi nimeoa na nimelipa mahari...ila furaha na aman yangu ni kubwa kuliko hivyo vimahali hivyo vimahali vinatafutwa tu labda uwe mvivu.....kuna uzi nilisha sema akigongwa wewe nenda kwa dadazake na shangazi zake tembeza rungu ilikumuonesha wewe ni nani....? Sio kwenda kuwaumiza wanawake wengine wasio na hatia.maana mchuma janga hula na wakwao
 
Ushauri wa bure kwa mwanaume, usije kuthubutu kujitoa uhai wako kwasababu ya kutendwa na mwanamke

Kwasababu siku ya mazishi yako atakuja na danga lake makaburini, imenitokea kama mara tatu hivi

Ulishajitoa uhai mara tatu hivi?
 
Ahsante mkuu, hapo sawa natembeza rungu kwa dada zake
 
Ushauri wa bure kwa mwanaume, usije kuthubutu kujitoa uhai wako kwasababu ya kutendwa na mwanamke

Kwasababu siku ya mazishi yako atakuja na danga lake makaburini, imenitokea kama mara tatu hivi
Kwa hiyo unataka kusema kwamba ulisha hudhuria mazishi ya wanaume ambao wamejinyonga kisa mapenzi na wewe ulienda ukiwa kama danga kwa mara 3, si ndio mkuu?
 
'Kazi ya wanawake ni kutwangwa'

Kuna vitu vyaweza kua kweli katika jamii yako lakini kuvitamka katika jamii nyingine ni ujinga.
 
Hivyo wanaume tuache tabia ya kujimilikisha viungo vya watu .

Nimekuelewa sana mkuu,
 
Kwa hiyo unataka kusema kwamba ulisha hudhuria mazishi ya wanaume ambao wamejinyonga kisa mapenzi na wewe ulienda ukiwa kama danga kwa mara 3, si ndio mkuu?
Hapana mi ndiye mhanga niliyetendwa zaidi ya mara tatu
 
Pigana na hali yako mwenyewe mkuu ,yakikupata yamekupata,shida yako ni yako tu
 
Pigana na hali yako mwenyewe mkuu ,yakikupata yamekupata,shida yako ni yako tu
Mkuu kua na hali nzuri sio hadi ulie lie kisa mapenzi acha ujinga. Sasa wewe endelea kulia lia kisa wanawake unazani kulilia wanawake ni sifa hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…