Mwanamke mzuri ni yupi?

Mwanamke mzuri ni yupi?

Kama unayemtafuta ni mwanamke mzuri wa sura, una kazi kubwa kwani wapo wengi, na baadhi yao uzuri wa sura zao siyo halisi, umekarabatiwa kwa namna mbali mbali. Mimi ninakupa ushauri, utafute "Mke MWEMA" ambaye sifa zake zimeorodheshwa hapa: Biblia Takatifu, "Mithali 31:10-31". Zingatia sana Mstari wa 30. Anapatikanaje? Kwa kuomba na kwa kufunga....!
 
Mwanamke mzuri ni yule ambaye hapigi vizinga na bado anatoa papuchi....factor nyingine ni za kufikirika tu, hazina uhalisia wowote!!!
 
Kila miaka ya mwanaume ikibadilika ina tofauti ya uono wake wa mwanamke mzuri sasa sijui wewe unakusudia wa age ipi?
 
Kwan mwanamke mbaya ni yupi????.....
 
Mke mzuri ni yule ukimtizama unaipata faraja na nguvu ya kupambana kimaisha kwa ajili yenu, bila kusahau anakuamsha kihisia vilivyo kazi kwenu sasa
 
Mwanamke mzuri ni yule Mwenye hofu ya Mungu,Anayekupenda,anayejua kupika chakula kitamu,Msafi wa mwili na tabia,Anayejua kukata viuno kwenye 6*6,zingine mbwembwe tu!.
 
Back
Top Bottom