Mwanamke mwenye mtoto

kinole1984

Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
65
Reaction score
50
Kiukweli naenjoy sana kuwa na mwanamke wa Single mother na amenipita mwaka 1 tuu.

Kwa mara ya kwanza niliteseka sana kuwa naye, kwatu walikuwa wakinicheka sana. Mara ooh mwanamke mkubwa, mara mwanamke gani huyo amezalishwa.

Nimejifunza mengi sana kwenye mapenzi, nilitamani kuwa na mwanamke ambaye hajapitia changamoto yoyote, lakini kabla yakufanya maamuzi nilifanya uchunguzi kwanza.

Na jibu nililopata nikwamba asilimia 78% ya wanawake waliopitia changamoto kubwa kwenye mapenzi ni wazuri kuwa nao kwenye maisha na kufanya nao maendeleo, kwani amekuwa amejifunza mengi.

96% ya wanawake wasiopitia changamoto za mapenzi kufanya nao maisha ni kazi ngumu sana, kwani akili yake ina mtazamo wa leo na si kesho.
 
We jamaa hauwajui single mama pasua kichwa!
Hapo ukute kakupanda kichwani mpaka hufurukuti kwake, yaani amekukalia mpaka hupumui,
kakukataza kuzungumza na wanaume wenzio, umeenda sehemu na kukawia, ukirudi tu, kipondo kinakuhusu!
Yaani mpaka kusema ukweli unaogopa, hata hapa JF Umeshindwa kusema ukweli ukihofia labda mkeo yupo mpaka humu JF.
 
Hahaha ha
 
Wako poa tena yawezekana hata zaidi ya unavyofikiria.
Changanua mapema upime akili zako tu. Wekaneni sawa sawa, muanze maisha.

Ila ujiridhishe mwenyewe!
 
Tatizo pale wanapotaka kukutana na Mzazi mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…