Mwanamke akiamua kumove on , ni kweli ameamua tofauti na wanaume ataenda kukumbushia
Ushauli wangu kaa nae hata mwaka ili ujilidhishe ni kweli wameachana kama ukigundua wameachana na hawana mawasiliano Basi muoe hawezi kuludi nyuma
Angalizo ; kama unampenda akishakua mke wako make sure unatoa huduma kwa mtoto uliemkuta nae ili kuepusha mawasiliano na baba mtoto na kuepusha mwanamke kuludi nyuma sababu za Kukosa mahitaji