Usafi huu sio wa nguo tu na kunukia,ni zaidi ya hilo...
Usafi unaanzia ndani..Msaidie Mwanaume awe msafi pia,rohoni hadi mwilini...Rohoni how??? Jitu halisali,halikumbuki kuna Mungu,lipo tu,unadhani mtajenga Familia gani baadae??? Msaidie kum-remind kukumbuka hilo.
Mafanikio ya nje huanzia ndani..Dirty inside, Dirty Outside... Mambo mengine anafanya nje na yanaku-affect kwa sababu umefeli ku-inspire change ya ndani...Ngumu hii lakini ndo hivyo..You can save a lot of energy kama atakuwa msafi wa ndani, everything outside will be set automatically...
Whatever u see in physical started in Spiritual...Yeah right! Hata ulimwengu uliumbwa,na vyote unavyoviona baada ya Plan ya Spirit kumalizaika. Soma Kitabu cha Mwanzo kwenye Biblia, uone Uumbaji ulifanyikaje... Same applies na hapa,Uumbajiwa vitu vya nje, Mahusiano imara, Familia bora,inajengwa ndani.. Sio kazi yako ni kuuliza Baby hatuendi Club, Baby this...Unamkumbusha kusali???
Utatengeneza mme freemason bila kujua...Mtu hasali we upo tu unaona sawa...CHANGE! Huu usafi mwingine wanawake mmejaliwa, biashara za kunuka kikwapa no. Kusafisha nyumba vema saafiii...mengine si kama kawa?? Mpango mzima uko hapo. Uzuri huwa ni subjective...Unaweza kuwa mzuri kwangu lakini ni wa kawaida kabisa kwa mwingine....
Ukiwa msafi unaweza ukamfanya Man wako aone potential,hata kama wewe sio mzuri sana lakini anaona Kiongozi wa Familia inside you and he will definitely opt you. Hamna limbwata wala nini, tupa kule mbali... Kama huna hizi sifa, aisee waza upya...
Unaweza bahatisha ukaolewa, lakini usitegemee muujiza. Goma litapata Pancha tu...Jamaa hataweza kukaa na nunda...Atajutia Mahari aliyolipa ila atasepa kimyakimya.. To avoid that, please make sure you do your Homework well ili Mtihani ukija unafaulu tu bila shida...
Jitathmini halafu KAA HUMO!