Mwanamke mnene

Mwanamke mnene

imani12

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
31
Reaction score
4
Natafuta mwanamke mnene, mkweli, muwazi na mpole. 0655191544
 
tembelea mikoa hii utawapata wengi sana tu
mbeya
njombe
ruvuma sio wengi sana
lindi
 
Kwel nimeamini hii mioyoo inawazimu na choice zake watakuja tu usjal mm nikafikiri unataka mlokole bonge ila wataka ilimradi bonge
 
Natafuta mwanamke mnene, mkweli, muwazi na mpole. 0655191544

acha udomo zege braza yaan mademu wote mtaan unashindwa kuwa convince mpaka unaweka namba yako kwenye mtandao nimekudharau sana au wewe n team vibamia nini?!
 
Mnene kuliko yupi maana hakuna mene bila mwembamba na hakuna mwembamba bila mnene unaezani wewe ni mwembamba kumbe kwenye familia yake wanamuita bonge
 
Aiseee kuna watu wana guts za ajabu sana yani unaweka namba yako hadharani....duuu
 
  • Thanks
Reactions: jai
…leo ukipata mnene, kesho utataka mrefu, keshokutwa mfupi, wiki ijayo mweupe, mwisho wa mwezi mweusi ilimradi dunia iendelea kuzunguka…
 
  • Thanks
Reactions: jai

Similar Discussions

Back
Top Bottom