Mwanamke mgomvi sana

Mwanamke mgomvi sana

Zahra White

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
598
Reaction score
576
Hapa nlipopanga kuna jirani yangu mmoja wa kiume ana kidemu chake kinakujaga.hakina swaga wala nini...kachafu chafu(tumuite nurse).Sasa ikatokea huyu jirani na jirani mwingine wa kike wametakana wakafanya yao ikawa na wanaendelea.

Madai ya mwanaume yule mdada mchafu wameachana na hakuja kwa kipindi chote.
Sasa sijui ikawaje mdada akaja na kukuta msg za jirani wa kike (tumuite john cena au chief accountant)..

Nurse akatuma msg kuwa mwanaume kalala umtafute kesho by his wife....

Hapo ndo pabaya John Cena mkorofi sana sijui kanajiamini nini..akamchamba mdada wa watu kwa msg kama isitoshe kwenye simu ya mwanaume akakuta picha za uchi za huyo nurse kudadadeki wote akatuforwadia,akaziforward kwa mwanamke,rafiki zake mwanaume na akasema siku akikutana na huyu dada anampiga.

Yeye hawara tu kama ilivyo mie how come ananitumia msg na bwana wake kanifata mwenyewe..demu mwenyewe hanipati kwa sura,shape,elimu ,pesa wala kazi.

Akiwa amerudi mchana au usiku hata kama nurse yupo ndani anagonga jamaa anafungua wanaenda kuongea.

Hapo jamaa sielewi kwa nini mpole hivyo...

Hiki kinurse ni kadem njaa kali tu cha uswazi (mie mwenyewe sikamind maana kanamkataza jamaa kujirusha na kupombeka wakati ndo kampani ya kunywa na kujirusha ya home) kanajitia kuwa kapole na kauct wife material wakti hata mie najua kamekosa soko ndo maana kanamganda mwanaume hivyo basi kilikuwa kinakuja kinafua kinaweka taarab, jamaa mwenyewe mganda full mashauzi kuweka BUKEDDE television.

Sasa hivi kikija heshima na adabu hakawashi tv wala hakafui mpaka dada john cena aondoke na anaweza akaingia msijue mpaka anaondoka msijue yaani anajificha kama panya road.

Kubwa kuliko kaliacha nguo zake na kaanaacha john cena akiingia kwa mwanaume anazichukua anagawa matambara kwa wadada zetu wa kazi.....

Ila kadada hakakomi!!!

John cena yeye anasema mie huyu bwana simtaki ana watoto wengi ni mwanaume wa kula nae bata ila sina future nae...anifanye tu ..

Kwanza haniwezi nina matumizi mengi sana...ila ninamkomoa huyu demu kimbelembele bwana wake mwenyewe kanifata isitoshe bwanake kitombi ana watoto 8 kila mtoto na mama yake,ameshaoa mara 2 moja kanisani na serikali ila kaacha mie nataka kumuonyesha tu huyu demu akome kuparamia wanawake asiowajua!!!

Mwezi unaisha john cena anamtafuta nurse ila anajificha,hampati ila kuchamba kama kawa...nurse anajibu kistaarab.

Hapa john cena kanitumia video yupo na mwanaume ndani kamrekodi anasema nimemtumia nurse akae sawa!!! Kamakuambi "njoo mchukue bwanako nampa mbele na nyuma mda wowote nikaomtaka namchukua!!!Na babako sijamjua tu naye nkimpata namleta hapa kwenye kitanda unacholia nampa tigo kama kawa namaliza namfuta kwa boxer uje kesho uifue na nimekuambia jifiche hivyo hivyo nkikuona popote halali yangu ""

Haya usiku mwema mie mwenyewe yyle mzee wangu keshaapishwa hapa tunalewa dompo tukabanjuane ..nina styld mpya kama 3 nataka kumpa
 
Hiki kinurse ni kadem njaa kali tu cha uswazi (mie mwenyewe sikamind maana kanamkataza jamaa kujirusha na kupombeka wakati ndo kampani ya kunywa na kujirusha ya home) kanajitia kuwa kapole na kauct wife material wakti hata mie najua kamekosa soko.

Green acha dharau

Red tafuta kampani nyingine but between the lines inaonyesha unapenda vya bure
 
Daah..maisha ya uswahilini full kufuatiliana na kudhalilishana...tabia za pwani bwana.
 
Ndo mana mnaambiwa watoto wa uswazi msinywe supu ya utumbo!...utumbo ni nyumba ya m.a.v.i!..ona mlivyodumaa akili!
Rubbish!
 
BUKEDE tv, nimecheka saaaana. Huwa wanaongea kiganda tu hiyo tv nawafahamu...
 
Modes embu toa huu upuuzi humu alaaaah...... hadi najihisi kutapika...!!! :kev::kev::kev::kev:
 
Eti yule mzee wangu kashaapishwa!...mliokuwa mnategemea hisani ya wafuja fedha za umma mtakoma uongozi huu. Tena nyie ndo mtakuwa mlikuwa mtuimbia tutaisoma namba, sasa nyie ndo mtaisoma namba kwelikweli.
 
Hapa nlipopanga kuna jirani yangu mmoja wa kiume ana kidemu chake kinakujaga.hakina swaga wala nini...kachafu chafu(tumuite nurse).Sasa ikatokea huyu jirani na jirani mwingine wa kike wametakana wakafanya yao ikawa na wanaendelea.
Madai ya mwanaume yule mdada mchafu wameachana na hakuja kwa kipindi chote.
Sasa sijui ikawaje mdada akaja na kukuta msg za jirani wa kike(tumuite john cena au chief accountant)..
Nurse akatuma msg kuwa mwanaume kalala umtafute kesho by his wife....
Hapo ndo pabaya John Cena mkorofi sana sijui kanajiamini nini..akamchamba mdada wa watu kwa msg kama isitoshe kwenye simu ya mwanaume akakuta picha za uchi za huyo nurse kudadadeki wote akatuforwadia,akaziforward kwa mwanamke,rafiki zake mwanaume na akasema siku akikutana na huyu dada anampiga.
Yeye hawara tu kama ilivyo mie how come ananitumia msg na bwana wake kanifata mwenyewe..demu mwenyewe hanipati kwa sura,shape,elimu ,pesa wala kazi.
Akiwa amerudi mchana au usiku hata kama nurse yupo ndani anagonga jamaa anafungua wanaenda kuongea ....
Hapo jamaa sielewi kwa nini mpole hivyo....
Hiki kinurse ni kadem njaa kali tu cha uswazi (mie mwenyewe sikamind maana kanamkataza jamaa kujirusha na kupombeka wakati ndo kampani ya kunywa na kujirusha ya home) kanajitia kuwa kapole na kauct wife material wakti hata mie najua kamekosa soko ndo maana kanamganda mwanaume hivyo basi kilikuwa kinakuja kinafua kinaweka taarab,jamaa mwenyewe mganda full mashauzi kuweka BUKEDDE television.sasa hivi kikija heshima na adabu hakawashi tv wala hakafui mpaka dada john cena aondoke na anaweza akaingia msijue mpaka anaondoka msijue yaani anajificha kama panya road.
Kubwa kuliko kaliacha nguo zake na kaanaacha john cena akiingia kwa mwanaume anazichukua anagawa matambara kwa wadada zetu wa kazi.....
Ila kadada hakakomi!!!
John cena yeye anasema mie huyu bwana simtaki ana watoto wengi ni mwanaume wa kula nae bata ila sina future nae...anifanye tu ..
Kwanza haniwezi nina matumizi mengi sana...ila ninamkomoa huyu demu kimbelembele bwana wake mwenyewe kanifata isitoshe bwanake kitombi ana watoto 8 kila mtoto na mama yake,ameshaoa mara 2 moja kanisani na serikali ila kaacha mie nataka kumuonyesha tu huyu demu akome kuparamia wanawake asiowajua!!!
Mwezi unaisha john cena anamtafuta nurse ila anajificha,hampati ila kuchamba kama kawa...nurse anajibu kistaarab.
Hapa john cena kanitumia video yupo na mwanaume ndani kamrekodi anasema nimemtumia nurse akae sawa!!! Kamakuambi "njoo mchukue bwanako nampa mbele na nyuma mda wowote nikaomtaka namchukua!!!Na babako sijamjua tu naye nkimpata namleta hapa kwenye kitanda unacholia nampa tigo kama kawa namaliza namfuta kwa boxer uje kesho uifue na nimekuambia jifiche hivyo hivyo nkikuona popote halali yangu ""
haya usiku mwema mie mwenyewe yyle mzee wangu keshaapishwa hapa tunalewa dompo tukabanjuane ..nina styld mpya kama 3 nataka kumpa

,mmmmm cjaelewa kitu unaweza kurudia maana dah
 
Isije kua ndo WW yamekukuta!! Subiri cyber crime iwafanyie suprise
 
Tabia za kiswahili ni shida sana aiseee, huo muda wa kufatilia mambo ya watu unapata wapi?? Hii stori ina mambo ya ndani sana khaaa
 
Back
Top Bottom