Mwanamke matunzo, nini maana ya msemo huu

Mwanamke matunzo, nini maana ya msemo huu

kanguse

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
42
Reaction score
8
Wadau,

Hili jambo bado sija liamini hivi ni kweli mwanamke mzuri ni yule anaetunzwa na hata kama ana sura mbaya jamani naye akitunzwa anakuwa na sura nzuri.

Nisaidieni kujibu swali hili ili niwe sawa
 
Back
Top Bottom