Mwanamke kwa aliyetayari kupima hiv


Urefu Cm 18.... Mkuu unatafuta Binadamu au Panya???
 
mh!hivyo vigezo mbona vingi sana?........hyo shep nzuri ndo nn,hebu fafanua mnene o mwembamba,shep zipo za aina nyingi,hata na 9 pia ni shep nzuri,ha haa...
 
I need husband seriously lkn,awe amempokea Yesu!...pili hakuna kujuana kipindi cha mahusiano (tendo la ndoa) mpaka ndoa if God wish....,elim nina degree. kazi ni kwako,teh the.......ss hayo mambo ya shep,hebu fafanua kidogo,maana shep zipo hadi za kichina ckuhiz!
 

dah... ukiruhusu kuonjana kabla ya ndoa nitafute. I am a commited christian and i read bible everyday.
 
dah... ukiruhusu kuonjana kabla ya ndoa nitafute. I am a commited christian and i read bible everyday.

hee,rafiki angu ss kuwa committed christian na kusoma bibble ndo ukristo?...ww km umeamua kuwa wa Yesu acha hayo mambo na inawezekana!....tangu umeanza kuonja umefaidika na nn?
 
Aisee kila la kheri bhana,ila hujajieleza vizuri kwamba we ni Ke au Me,mambo ya kiliberali nw days afu umekaa muda mrefu mpk 38yrs..Au ndo domo limejaa mate.
 
hee,rafiki angu ss kuwa committed christian na kusoma bibble ndo ukristo?...ww km umeamua kuwa wa Yesu acha hayo mambo na inawezekana!....tangu umeanza kuonja umefaidika na nn?

Yes ukristo uliokomaa..
labda ningekuwa nimekufa kama ningekuwa sionji.... yu neva noo mtu wangu.
 
Yes ukristo uliokomaa..
labda ningekuwa nimekufa kama ningekuwa sionji.... yu neva noo mtu wangu.
ha haaa..hakunaga ukristo uliokomaa....Mungu ni roho!na wanaomuabudu wanapaswa kumuabudu ktk Roho!
so hayo mambo mengine hayana nafasi ni mbwebwe 2
 
nilikosea ni 180 cm samahani
Mkuu asilimia kubwa ya wanawake ni wafupi zaidi ya hapo..wengi ni 168 cm kushuka chini unless unataka mmasai..hapo..!!!
 

vigezo vyote ninavyo kasoro namba 2.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…