Wengi wao Nguvu za kike zinapungua
Duh hata mm nina kitambi
mimi naona mwanamke akiwa flat screen na kitambi ndo anachukiza but kama neema za allah zipo kitambi sio ishu
hcho chako si kikubwa, kuna watu wana matumbo bana!
hcho chako si kikubwa, kuna watu wana matumbo bana!
flat screen lakin ana kitambi, yaani utadhani nyuma pamehamia mbele anajisukuma tu